DEREVA WA DALADALA AIBUKA KIDEDEA NA RENAULT KWID YA M-PESA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DEREVA WA DALADALA AIBUKA KIDEDEA NA RENAULT KWID YA M-PESA

Mshindi wa shindano la Vodacom Mpesa Aloyce Mnyamagola mkazi wa Nzuguni Jijini Dodoma akiwasha gari alilokabidhibiwa Jijini Dodoma baada ya kushinda katika promosheni inayoendelea ya 'Tumia M-Pesa ushinde gari.Mshindi wa gari aina ya Renault Kwid kutoka Vodacom Mpesa Aloyce Mnyamagola akifungua mlango wa gari aliloshinda mara baada ya kukabidhiwa rasmi leo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Binilith Mahenge jijini Dodoma jana, wanaoshuhudia ni maofisa mbalimbali kutoka VodacomCopyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More