Dereva wa daladala aibuka kidedea na Renault Kwid ya M-Pesa, bado magari sita yasubiri washindi - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dereva wa daladala aibuka kidedea na Renault Kwid ya M-Pesa, bado magari sita yasubiri washindi

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Binilith Mahenge (kulia) akimkabidhi funguo za gari  mshindi wa shindano la Vodacom Mpesa alilojishindia katika promosheni inayoendelea ya 'Tumia M-Pesa ushinde gari' ,mkazi wa Nzuguni  nje kidogo ya Jiji la Dodoma  Aloyce Mnyamagola  baada ya kushinda, sherehe  za kukabidhi zawadi  zilifanyika jana Jijini hapa.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Binilith Mahenge (kulia) akimkabidhi funguo za gari  mshindi wa shindano la Vodacom Mpesa alilojishindia katika promosheni inayoendelea ya 'Tumia M-Pesa ushinde gari' ,mkazi wa Nzuguni  nje kidogo ya Jiji la Dodoma  Aloyce Mnyamagola  baada ya kushinda, sherehe  za kukabidhi zawadi  zilizofanyika jana Jijini hapo. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa wateja Vodacom Bi Harriet Lwakatare.

Mshindi wa gari  aina ya Renault Kwid kutoka Vodacom Mpesa Aloyce Mnyamagola akifungua mlango wa gari aliloshinda mara baada ya kukabidhiwa rasmi leo na  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Binilith Mahenge jijini Dodoma jana, wanaoshuh... Continue reading ->Source: Mwanaharakati MzalendoRead More