Deus Kaseke pekee amekidhi vigezo vya usajili Yanga - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Deus Kaseke pekee amekidhi vigezo vya usajili Yanga

Ofisa habari wa Yanga Dismas Ten amesema mchezaji pekee aliyekidhi vigezo vya usajili ni Deus Kaseke huku Kelvin Yondani na Hassan Kessy wakiwa hawana mikataba na klabu hiyo.


Dismas alizungumza na Prisca Kishamba kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu usajili wa wachezaji wa Yanga.


“Ukiangalia kwenye mfumo wa usajili wa ndani kwa Yanga, mchezaji pekee ambaye amekidhi vitu vyote vinavyotakiwa kuwepo ni Deus Kaseke, tayari usajili wake tumeutuma tunachosubiri ni TFF kuuthibitisha ili apate leseni ya ndani.”


“Wachezaji wengine wote usajili wao bado upo pending kwa sababu baadhi ya documents zao zinakosekana. Hadi sasa nina medical report za wachezaji watatu, (ya Matheo Anthony ina matatizo) inabidi irudishwe kwa daktari ili aweze kuiweka sawa.”


“Medical report zina gharama yake katika kuzitengeneza. Kabla daktari hajaondoka kwenda Kenya aliniambia kuna kipimo ambacho kinakwenda hadi Tsh. 230,000 ukizidisha kwa idadi ya wachezaji tulionao utaona ni kiasi gani cha fedha kina hitajik... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More