Diamond , Alikiba Ndani ya Tamasha la Wasafi Festial - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Diamond , Alikiba Ndani ya Tamasha la Wasafi Festial

Msanii Diamond Platinumz siku ya jana alikuwa katika maongezi na waandishi wa habari , taarifa ambayo aliitoa kabla ya kuanza mkutano huo kuzngumzia hali ya muziki wao najinsi wasafi inavyofanya kazi usiku na mchana ili kuwakonga mashabiki zao wote.


Katika moja ya vitu alivyoonga msanii huyo ilikuwa ni kushiriki kwa msanii Alikiba katika tamasha la wasafi festival ambalo litaanza hivi karibuni likitarajia kuzunguka karibia mikoa yote nchini.


Diamond ansema kuwa pamoja na kwamba tamasha hilo linaitwa Wasafi festival lakini haimaanishi kuwa ni tamasha la wasanii kutoka katika lebo hiyo tu bali inawakaribisha wasanii wote hata Alikiba pia.


Katika maneno aliyoyasema Diamond alinukuliwa akisema ‘hilikiana nae na kwa kuthibitisha hilo hata kaka yetu Alikiba nae ningependa kumuona katika tamasha hilii ni tamasha la kwetu wote na tungependa msanii yoyote ataekuwa tayari kushiriki na sisi basi  lazima tutashii.


Na hii inazua attention kubwa kwa mashabiki kwa sababu wamekuwa wakitamani sana w... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More