Diamond Alikuwa Hajui Kuimba ;-Mr,Misifa - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Diamond Alikuwa Hajui Kuimba ;-Mr,Misifa

Aliyewahi uwa meneja wa msanii Daimond platinumz kipindi anaanza muziki, Mr Misifa amefunguka na kusema kuwa kipindi diamond anamfuata na kutaka amsimamie alikuwa hajui kuimba kabisa lakini alimkubali na kuanza kufanya nae kazi.


Hata hivyo Mr misifa anasema kuwa kwa sababu alikuwa hajui kuimba hakumkataa lakini aliamua kumuweka pembeni wa muda wa miaka miwili ili kumtengeneza kbala ajaanza kutoka na wimbo wake wa kamwambie.


Papa Misifa ndie aliekuwa meneja wa kwanza wa msanii Diamond ambae ndie aliemtoa katika game na hata katika wimbo wae wa kwanza wa Kamwambie alitokea katika video hiyo, na yeye pia amekuwa moja ya watu wanaojivunia sana mafanikio ya msanii huyo.


The post Diamond Alikuwa Hajui Kuimba ;-Mr,Misifa appeared first on Ghafla! Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More