Diamond alivyotua kwa ndege Sumbawanga na kuibua shangwe Wasafi Festival (+Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Diamond alivyotua kwa ndege Sumbawanga na kuibua shangwe Wasafi Festival (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nasib Abdully alimaarufu Diamond Platnumz aibua shangwe kwa mashabiki wa burudani katika tamasha la Wasafi Festival,Sumbawanga baada ya kutua kwa ndege. Msanii huyo ametua Sumbawanga akiwa na timu mzima ya wasanii watakaoenda kuperform katika tamsha hilo wikiendi hii, Ikumbukwe kuwa Sumbawanga itakuwa ni sehemu ya nne ambayo tayari imetembelewa na tamasha hilo kubwa kabisa nchini:-By Ally Juma.


The post Diamond alivyotua kwa ndege Sumbawanga na kuibua shangwe Wasafi Festival (+Video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More