Diamond Ampa Ali Kiba Ruksa Ya Kudhamini Wasafi Festival - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Diamond Ampa Ali Kiba Ruksa Ya Kudhamini Wasafi Festival

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz na msanii mwenzake Ali Kiba wameonekana kuelekea katika njia sahihi Baada ya Ali Kiba kuomba kuwa mdhamini kwenye Wasafi Festival na Diamond kukubali.


Kupitia, ukurasa wake wa Instagram, King Kiba ameshukuru kupokea mwaliko huo kutoka WCB na kudai kuwa hatoshiriki kwenye Tamasha hilo kwa sasa kutokana na kuwa na ratiba zake za uzinduzi wa kinywaji chake cha MoFaya na hivyo kusema atashiriki Tamasha hilo kwa kudhamini kupitia kinywaji chake hicho cha MoFaya.


Baada ya majibu hayo ya Kiba, Diamond Platnumz Baada ya kukutana na posti hiyo ya kiba aliamua kukomenti palepale kwa kumueleza kuwa uongozi wa WCB unaendelea kuwasiliana na uongozi wa RockyStar ili kuweka mambo sawa na kwamba tayari jambo hilo limeshapitishwa.Limepita hilo Ally K@sallam_sk anamcheki Seven now… #DiamondKaranga#MoFaya#WasafiFestival2018 #NewBongofleva #BongoFlevaToTheWorld🌍@WasafiFM@WasafiFestival🔥🔥🔥💰💰🔥🔥🔥 “.Baada ya Bifu la miaka Minho hatimaye Ali Kiba na Dia... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More