Diamond Amuweka Idris Katika Wakati Mgumu. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Diamond Amuweka Idris Katika Wakati Mgumu.

Mchekeshaji maaruf nchi Idris sultani amejikuta akiwa katika wakati mgumu kutokana na kile alichokifanya Diamond katika sku yake ya kuzaliwa ambacho kwa upande wake anaona kabisa kuwa haitawezekana kuwafanyia watu wa kwao.


Idris ambae pamoja na kumpongeza kwa hatua kubwa aliyoifikia ya kuwakumbuka wananchi wa sehemu alipotoka lakini pia anasema kuwa kitu alichokifanya Diamond kinamfanya yeye hashindwe kueleweka kwa watu wa arausha kwa sababu anaona kabisa kuwa hawezi kurudisha fadhira kama alizofanya diamond  na anaona kuwa kwa vitu anavyotaka kuwapelekea hakuna atakae muelewa.


Idris aliandika “kitu alichofanya diamond kimenifanya nishindwe kulala , najiuliza narudi vipi Arusha kugawa kilo mbili za mchele, elfu 20 ya luku, kisado cha mafuta ya kula  na tshirt ya sportpesa,wana watanipiga waniue.”


Ukiachana na kuwa wawili hao wameshapatwa na skendo za kuwa wanachangia wanawake lakini siku zote haijawahi kusikika kuwa wamekuwa na bifu au kukitana na kugombana aua kutupiana maneno ,... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More