Diamond Ananiita Aunty Penny na Mimi Namwita Uncle Naseeb - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Diamond Ananiita Aunty Penny na Mimi Namwita Uncle Naseeb

Mwanadada Penina anasema kuwa pamoja na kwamba wamewahi kuwa na mahusiano na msanii Diamond Platinumz alkini yeye sio yule ex -girlfriend ambae ataweka chuki moyoni na kuanza kutukana nae katika mitandao ya kijamii hata siku moja.


Penny anasema kuwa hakuna tofauti kati yao na hata kama wakikutana wanaitana aunty na uncle na wala hawana shida yoyote kabisa.


Circle yangu sasa ikabadilika na marafiki zangu pia wakawa wamebadilika kwaio nikawa nacheza sana lowkey, na kama mtu akiniona basi ujue kuwa nina show mpya , ni mara chache sana nina toka .


mimi ni fan wake namba moja ya diamond and i love his all songs na pengine sisi yeye tu labda ni wasanii wake wote wa WCB, Hatuna mahusiano tayari tulisha-move on yeye ataniita Aunty Penny na mimi nitamwita Uncle Nasseb kwwaio we are cool sana hatuna tatizo kabisa.na mimi sio yule garfriend ambae nita-hold gudges na tutaanza kupakana hapana.


The post Diamond Ananiita Aunty Penny na Mimi Namwita Uncle Naseeb appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More