Diamond atangaza kinywaji ambacho kinadhamini Wasafi Festival - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Diamond atangaza kinywaji ambacho kinadhamini Wasafi Festival

Msanii wa muziki na Rais wa WCB, Diamond Platnumz Ijumaa hii ametangaza kinywaji baridi cha pepsi kuwa mdhamini mkuu wa tamasha la Wasafi Festival ambalo litaanza kutimua vumbi November 24 mwaka huu huko mkoani Mtwara.


Muimbaji huyo amemleta mdhamini huyo huku akisubiria wadhamini wengine akiwemo Mofaya.


Naomba Nianze kuwaleta Kwenu Wadhamini wa #WasafiFestival2018 sasa!!!!….Kwanza kabisa naomba Tuwakaribishe Rasmi @Pepsi_tz katika #WasafiFestival2018… Asante sana @Pepsi_tz kwa kuthamini Sanaa yetu… Asante kwa Kuamini katika Vijana… asante kwa Kuamini #WasafiFestiVal208 ….Uwepo wako ndani ya #WasafiFestival2018 Unathamani kubwa sana, na Utaenda Fungua Milango ya Vijana wengi Wenye ndoto ya kufanikiwa kupitia sanaa….. Nasemaje Wadau kuanzia sasa hii ndio soda yetu Rasmi ya #WasafiFestival2018 , na Ukiwa kama Mpenda burudani ya haki naomba kwa Kuwapa shukran kwa Kuisapoti #WasafiFestival2018 kuanzia sasa sie woteTufyekelee mbali visodasoda Vingine….. yani Soda yetu iwe ni P... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More