Diamond Azidi Kuzua Gumzo Baada Ya Kuishia Nje Kwenye Kuaga Mwili Wa Ruge - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Diamond Azidi Kuzua Gumzo Baada Ya Kuishia Nje Kwenye Kuaga Mwili Wa Ruge

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz amezidi kukamata headlines kwa matukio ambayo amekuwa akiyafanya ikiwemo Sakata la kuishia nje ya ukumbi wa Karimjee siku ya kuaga mwili.


Maulidi Kitenge mtangazaji wa EFM, leo amezua gumzo mitandaoni kwa kudai kwamba muimbaji huyo alizuiliwa kuingia ndani kwa madai kwamba alichelewa pamoja na kuwa na kundi kubwa la watu.


View this post on InstagramDiamond afika msibani kwa Ruge kuaga akiwa amechelewa#tunanyamvuanakunyumbulisha


A post shared by Maulid Kitenge (@kitengemaulid) on Mar 3, 2019 at 9:00pm PST

Ujumbe huyo wa mtangazaji huyo hodari wa michezo kutoka EFM, umezua gumzo mitandaoni huku kila mmoja akiwa na maoni yake kuhusiana na sakata hilo la aina yake.


Mengi yalizungumzwa kuhusu uhusiano wa Diamond na Marehemu ikiwemo Bifu lao enzi za uhai Wake ambapo ilisemekana Msanii huyo asingeweza kuhudhuria msiba huo.


The post Diamond Azidi Kuzua Gumzo Baada Ya Kuishia Nje Kwenye Kuaga Mwili Wa Ruge... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More