Diamond azua kizaazaa msiba wa King Majuto - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Diamond azua kizaazaa msiba wa King Majuto

MWANAMUZIKI wa kizazi kipya Nasibu Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnum leo tarehe 9 Agosti, 2018 amezua kizaazaa kwenye msiba wa Amri Athumani maarufu kwa jina la King Majuto. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Diamond alifika kwenye ukumbi wa Kareem Jee wakati ambao shughuli ya kuaga mwili wa King Majuto ikiendelea na kuzuiwa kutokana ...


Source: MwanahalisiRead More