Diamond Platinumz ametufundisha hili kwa vitendo zaidi - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Diamond Platinumz ametufundisha hili kwa vitendo zaidi

NI kweli huwezi kupendwa na wote, hata uwe mtu mwema kiasi gani. Kadhalika huwezi kuchukuliwa hata uwe katili na hayawani wa kiasi gani! Ndivyo maisha yalivyo. Binadamu kaumbwa na silika ya kumchukia ama kumpenda mtu wakati mwingine bila sababu.


Source: MwanaspotiRead More