Diamond Platnumz, Vanessa Mdee waitikisa Dubai wafanya show ya kufa mtu (+Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Diamond Platnumz, Vanessa Mdee waitikisa Dubai wafanya show ya kufa mtu (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka katika lebo ya WCB pia akiwa ndio C.E.O wa lebo hiyo Diamond Platnumz amefanikiwa kufanya show kubwa sasa katika tamasha la OneAfricanMusic2018.Tamasha hilo ambalo hufanyika kila mwaka na kwa mara hii likiwa limefanyika Dubai msanii huyo kutoka Tanzania aliweza kufanya Show kubwa sana. 


By Ally Juma.


The post Diamond Platnumz, Vanessa Mdee waitikisa Dubai wafanya show ya kufa mtu (+Video) appeared first on Bongo5.com.

... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More