Diane Reeves: Baada ya mpenzi wangu kuniambukiza HIV - hivi ndivyo nilivyopata haki - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Diane Reeves: Baada ya mpenzi wangu kuniambukiza HIV - hivi ndivyo nilivyopata haki

Wakati Diane Reeve alipogundua kwamba mpenzi wake alikuwa akilala na wapenzi wengine alivunja uhusiano wake , lakini baadaye aligundua kwamba alikuwa ameambukiza viini vya HIV


Source: BBC SwahiliRead More