Dida afunguka ishu yake na Manula Simba - 2 - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dida afunguka ishu yake na Manula Simba - 2

Anasimulia kwamba alikuwa muokota mipira (Ball Boy) kwenye Uwanja wa Uhuru mwaka 2000 na kwamba ikitokea Simba inafanya mazoezi alikuwa anaenda kumuomba kocha ili kufanya nao ambapo anawataja kina Mohamed Mwameja na Kelvin Mhagama ndiyo waliomvutia.


Source: MwanaspotiRead More