Dida, Manula waipasua Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dida, Manula waipasua Simba

Hapana shaka yoyote kwamba Deogratias Munishi 'Dida' na Aishi Manula ni miongoni mwa makipa bora watano wazawa hapa nchini kwa sasa wakiungana na Juma Kaseja, Aaron Kalambo na Benedictor Tinoco.


Source: MwanaspotiRead More