Difaa yamtumia tiketi Msuva juu kwa juu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Difaa yamtumia tiketi Msuva juu kwa juu

MSHAMBULIAJI wa Taifa Stars, Saimon Msuva amepandishwa ndege juu kwa juu mwanangu na klabu yake ya Difaa El Jadida kurejea Morocco ili kuwahi mchezo wa robo fainali ya Kombe la Mfalme ‘Trone’ dhidi ya FAR Rabat.


Source: MwanaspotiRead More