Dili la kubadilishana Pogba na Dybala latajwa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dili la kubadilishana Pogba na Dybala latajwa

MANCHESTER United ipo tayari kumtumia kiungo wake staa, Paul Pogba kama chambo cha kumnasa mshambuliaji wa Juventus, Paulo Dybala ambaye anahitajika Old Trafford wakati huu Pogba akitamani kuondoka klabuni hapo.


Source: MwanaspotiRead More