Dilunga kula sahani moja na Makambo - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dilunga kula sahani moja na Makambo

Said Khamis wa Mbao FC anamiliki mabao sita alisema kinachotakiwa kufanyika kwa wazawa ni kubadilika na kuamua kuwa na malengo ya kufanya kitu cha kimapinduzi kwenye ligi kuu, akitolea mfano wa kutunza viwango vya kuwa juu muda wote.


Source: MwanaspotiRead More