Dina atwaa medali tatu za dhahabu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dina atwaa medali tatu za dhahabu

Mchezaji Dina Asher-Smith amejiandikia historia kwa kutwaa medali tatu ya dhahabu kwenye mashindano ya Ulaya ‘European Championships’ akiiongoza Uingereza kushinda mbio za kupokezana vijiti za mita 4x100, mjini Berlin, Ujerumani.


Source: MwanaspotiRead More