Dirisha la usajili Uingereza lafunguliwa, Sanchez mikononi mwa juventus na Inter milan, Umited hatiani kumkosa Sancho, Tottenham wajipanga kumrudisha Bale, na wengine sokoni - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dirisha la usajili Uingereza lafunguliwa, Sanchez mikononi mwa juventus na Inter milan, Umited hatiani kumkosa Sancho, Tottenham wajipanga kumrudisha Bale, na wengine sokoni

Juventus wameanza mashauriano na Manchester United kumhusu kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Chile, Alexis Sanchez, 30, ambaye amehusishwa na Inter Milan.(Independent). Manchester United wanamawamezea mate wachezaji mahiri wa Crystal Palace Aaron Wan-Bissaka, 21, na Patrick Van Aanholt, 28. (Sun)Chelsea wanapanga kumuongezea mkataba wa mkopo wa Gonzalo Higuain kisha wamregeshe mshambuliaji huyo wa miaka 31 Juventus baada ya fainali ya ligi ya Europa. (Mail)


Gonzalo HiguainHaki miliki ya pichaEPA

Mshambuliaji Crystal Palace Wilfried Zaha(26) amekiambia klabu chakekuwa anataka kuondoka msimu huu wa joto ili kujiunga na soka ya ligi ya mabingwa. Huenda Eagles wakaitisha pauni milioni £80m kumuuza nyota huyo wa kimataifa wa Ivory Coast. (Mail)


Wilfried ZahaHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionWilfried Zaha

Meneja wa Chelsea, Maurizio Sarri mesema ataondoka Stamford Bridge hata akishinda ligi ya Europa- Roma na AC Milan huenda wakatafuta huduma za Mtaliano huyo, huku Blues wakitarajiwa kumsaka meneja wa Watford ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More