Dirisha la usajili Ulaya linavitesa vilabu vya EPL - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dirisha la usajili Ulaya linavitesa vilabu vya EPL

Wakati dirisha kubwa la usajili lilipofungwa mwaka jana, moja kati ya mambo yaliyozungumzwa sana ni jinsi ambavyo Leicester City walivyoshindwa kumsajili Adriein Silva kutoka Ureno wakichelewa kwa sekunde 14 kuwasilisha nyaraka muhimu hali iliyowalazimu kusubiri mpaka mwezi January uliofuatia wakati dirisha dogo lilipokuwa wazi.


Kila mtu anakumbuka kilichowahi kuwakuta Manchester United wakati walipojaribu kumsajili Ander Herrera kutoka Athletic Bilbao au ile story ya mashine ya fax iliyofelisha deal la David De Gea kwenda Madrid na Keylor Navas kwenda Manchester United.


Matukio yote haya yanaashiria ugumu uliuopo kwenye biashara ya wachezaji kutoka timu moja kwenda nyingine na baada ya baadhi ya makocha kulalamikia wachezaji wao  kukosa umakini kwa sababu ya ligi kuendelea huku dirisha la usajili likiwa wazi.


Timu za ligi ya England kwa wingi wa timu 15 kwa 5 zilipiga kura na kuamua kuwa dirisha la usajili kwenye ligi ya Malkia litafungwa mapema kuliko sehemu nyingine kitu ambacho ti... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More