Ditto, Gabo washinda tuzo za ZIFF 2018 - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ditto, Gabo washinda tuzo za ZIFF 2018

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Lameck Ditto ameshinda tuzo ya video bora ya muziki kwenye tuzo za ZIFF 2018 zilizotolewa usiku wa kuamkia jana visiwani Zanzibar.


Source: MwanaspotiRead More