Diwani Chadema Mbeya amwaga mboga, atangaza kujiuzuru - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Diwani Chadema Mbeya amwaga mboga, atangaza kujiuzuru

MUDA mchache baada ya Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Mbeya kupendekeza kuwavua uanachama madiwani watatu mkoani huyo, mmoja wa madiwani hao amejibu mapigo kwa kujiuzuru. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Diwani wa Kata ya Nsalaga jijini Mbeya, Mchungaji  David Ngogo amesema ameamua kujiuzuru uanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani ...


Source: MwanahalisiRead More