Diwani kata ya Lemara Profesa Raymond Mosha akabidhi baiskeli ya walemavu kwa mkazi wa kata hiyo George Makinda - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Diwani kata ya Lemara Profesa Raymond Mosha akabidhi baiskeli ya walemavu kwa mkazi wa kata hiyo George Makinda

Na Ahmed Mahmoud,Arusha.Diwani wa Kata ya Lemara ,Profesa Raymond Mosha ameanzisha mpango wa kuwafikia watu wenye ulemavu na kuwapatia mahitaji yao pamoja na nyenzo wanazohitaji ikiwemo baiskeli maalumu za walemavu.Akizungumza katika zoezi la kukabidhi baiskeli ya mlemavu mwenye umri wa miaka zaidia ya sitini mkazi anayeitwa Mzee George Makinda  wa kata ya Lemara katika eneo la Njiro jijini Arusha amesema kuwa  baiskeli  hiyo  itamsaidia kujishughulisha na kazi zake kama kawaida.Msaada wa baiskeli hiyo  imetolewa na Professa Raymond Mosha ambae ni diwani wa kata hiyo ya Lemara baada ya kuona familia ya Mzee George Makinda haina uwezo wa ununuzi wa baiskeli hiyo,Professa Mosha alisema kuwa alihuzunishwa sana na maisha ya mlemavu huyo kwani George Makinda  miaka ya nyuma alikua mzima lakini alikubwa na ugonjwa wa kupooza uliomfanya kua mlemavu wa kushindwa kuongea wala kutembea.alisema hali hiyo ndio iliomgusa yeye na marafiki zake nakuamua kujitolea baiskel ambayo itamsaidia k... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More