Dj Mafuvu Adai Wafanyakazi Wa Clouds Fm Wanamfanyia Figisu ili Asipate Kazi - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dj Mafuvu Adai Wafanyakazi Wa Clouds Fm Wanamfanyia Figisu ili Asipate Kazi

Dj Maarufu Kwenye masikio ya wasikilizaji DJ Mafuvu ameibuka na tuhuma nzito dhidi ya Ma Dj wa Clouds Fm na kuwatuhumi kwa kumzibia riziki ili asipate ajira clouds Fm.


Dj Mafuvu ambaye miaka ya nyuma ameshawahi kufanya kazi katika kituo cha East Africa Television na radio amedai Ma Dj wa Clouds wameonekana kumfanyia figisu ili asipate ajira hapo.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dj Mafuvu amewataja D-Ommy, DJ Zero, DJ Sinyorita, DJ Bulla na DJ Feruu kama watu wanaomfanyia figisu figisu.Najua my Fans n’ Supporters (Mashabiki) ndio mmekuwa mstari wa mbele kunisukuma sana kuhusu kurudi Media, na Uongozi wa Clouds Media Group (CMG) ukanipa ile nafasi na wangependa niendelee kuwapa burudani lakini inabidi tu niweke wazi kuhusu hii ishu na niwachane tu hawa Jamaa; @djzeroxxl@djdommy @djsinyorita @djbullatz@djferuuh acheni kufanya figisu chini chini mchongo usifanikiwe, halafu wakumbuke haya Maisha tu tuache kuwekeana giza kindezi! Ila najua hawajui tu kama wanashindana na nguvu ya... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More