Djuma: Kufukuzwa Simba siyo kifo - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Djuma: Kufukuzwa Simba siyo kifo

Siku moja baada ya kuthibitika rasmi ameonyeshwa mlango wa kutokea, kocha msaidizi wa Simba, Masudi Djuma amesema kufukuzwa na klabu hiyo sio kifo kwa kuwa kuna maisha baada ya hapo.


Source: MwanaspotiRead More