Dk. Bashiru: CCM kuna wezi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dk. Bashiru: CCM kuna wezi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally amesema kuwa, ndani ya chama chake amekuta wezi. Anaandika Faki Sosi…(endelea). Na kwamba, kuna wabunge kwenye chama chake wanapochangia mijadala bungeni unaweza kudhani wazalendo lakini wezi. Dk. Bashiru ametoa kauli hiyo leo tarehe 12 Oktoba 2018 wakati wa Kongamano la Miaka 19 ya Kumbumbuku ya ...


Source: MwanahalisiRead More