Dk. Kikwete amuomba Rais Magufuli kuichangia Yanga - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dk. Kikwete amuomba Rais Magufuli kuichangia Yanga

DAKTARI Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne amemuomba Rais John Magufuli kuichangia Klabu ya Yanga. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Akizungumza kwenye harambee kubwa ya kuichangia Klabu ya Yanga, iliyofanyika leo tarehe 15 Juni 2019  katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam, Dk. Kikwete amesema hata yeye enzi za ...


Source: MwanahalisiRead More