DK. MNDOLWA AUNGURUMA JIJINI MWANZA, LEO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DK. MNDOLWA AUNGURUMA JIJINI MWANZA, LEO

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akizungumza na viongozi wa CCM na wa Jumuiya hiyo mkoani Mwanza, katika mkutano uliofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dk. Anthony Diallo na kulia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Mwanza Cornel Magembe na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania upande wa Zanziar Haidar Haji Abdallah.  Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania upande wa Zanzibar Haidar Haji Abdallah akizungumza wakati wa mkutano huo. 
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima akizungumza wakati wa mkutano huo.  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Cornel Magembe akizungumza kwenye mkutano huo.   Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Christina Joram akizungumza, alioopewa nafasi ya kusakimia kwenye kikao hicho. 

KUSOMA ZAIDI  BOFYA HAPA... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More