Dk. Mpango akiri Watanzania wengi bado maskini - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dk. Mpango akiri Watanzania wengi bado maskini

SIKU chache baada ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango kusoma Bajeti ya Kuu ta Tanzania kwa mwaka 2019/20, huku ikielezea ukuaji wa pato la Mtanzania kukua, lakini leo amekiri kuwa bado Watanzania ni maskini. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Dk. Mpango ametoa kauli hiyo ambayo imepingana na ripoti yake Bajeti aliyosoma ...


Source: MwanahalisiRead More