Dk. Mpango: Pato la mtu mmoja mmoja limeongezeka - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dk. Mpango: Pato la mtu mmoja mmoja limeongezeka

SERIKALI imeeleza kuwa, pato la wastani la kila mtu kwa mwaka 2018 lilifikia Sh. 2.4 Milioni (2,458,496), kutoka Sh. 2.3 (2, 327,395) mwaka 2017. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hii maana yake ni kuwa, pato la mtu mmoja mmoja kwa siku limeongezeka kutoka 6,376.4 mwaka 2017 hadi 6,735.6 kwa mwaka 2018. Kauli hiyo imetolewa leo tarehe ...


Source: MwanahalisiRead More