DK. NDUGULILE AKABIDHI VITANDA,MAGODORO 14 HOSPITALI YA VIJIBWENI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DK. NDUGULILE AKABIDHI VITANDA,MAGODORO 14 HOSPITALI YA VIJIBWENI

Na Ripota Wetu, Globu ya jamiiNAIBU Waziri wa Afya,Wazee,Jinsia na Watoto na Mbunge wa Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es Salaam Dk.Faustine Ndugulile amekabidhi vitanda na magodoro 14 vinavyotarajiwa kuhudumia wagonjwa wa dharula kwenye  Hospitali  ya Vijibweni na kuwataka wataalamu kuvitumia vitanda hivyo kwa lengo lililokusudiwa.
Dk.Ndugulile ameyasema hayo leo wakati akikabidhi vitanda alivyopokea kutoka kwa Jamii ya Australia (Australia Tanzania society) na Kampuni ya JACANA ikiwa ni  matokeo ya mkakati ambayo Serikali inashirikisha sekta binafsi katika hali ya utoaji wa huduma za afya.Pia amemtaka Mkurugenzi wa Manispa ya Kigamboni na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni  kusimamia mapato na kuhakikisha mifumo ya kudhibiti mapato  inafungwa kwenye vituo vyotevya afya  ili fedha zitakazopatikana zitumike kuboresha huduma nyingine  za afya.Aidha Dk.Ndugulile amesisitiza ofisi ya Mkurugenzi kuweka mfumo mzuri wa malalamiko ili kuwarahisishia wananchi wanaokuwa na changamoto ya ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More