Dk. Ndugulile atembelea MOI, akagua chumba cha tiba mtandao - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dk. Ndugulile atembelea MOI, akagua chumba cha tiba mtandao

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea Taasisi ya Tiba ya mifupa, upasuaji wa ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu (MOI) kukagua maendeleo ya chumba maalum cha Tiba mtandao ambacho kinatarajia kukamilika na kufanya kazi kuanzia mwezi Juni mwaka huu. Anaripoti Hamisi Mguta … (endelea). Awali akiwa ...


Source: MwanahalisiRead More