DK.SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI,UTALII NA MAMBO YA KALE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DK.SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI,UTALII NA MAMBO YA KALE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leoNaibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale anayeshuhulikia Habari Dkt.Saleh Yussuf Mnemo (wa pili kushoto) akitoa ufafanuzi wakati wa Mkutano wa Wizara hiyo wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zan... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More