DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE WA ASKOFU MKUU WA KANISA LA ANGIKANA TANZANIA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE WA ASKOFU MKUU WA KANISA LA ANGIKANA TANZANIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dkt. Maimbo Willium Mndolwa (kulia) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Viongozi mbali mbali wa Kanisa hilo, Septemba 10, 2018.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Kanisa la Anglikana Tanzania ulioongozwa na Askofu Mkuu wa kanisa hilo Dkt. Maimbo Willium Mndolwa (wa nne kushoto) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Viongozi mbali mbali wa Kanisa hilo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Kanisa la Anglikana Tanzania ulioongozwa na Askofu Mkuu wa kanisa hilo Dkt. Maimbo Willium Mndolwa (wa tatu kushoto) babada ya mazungumzo wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Viongozi mbali mbali wa Kanisa hilo. Picha na Ikulu, Zanzibar. ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More