Dk. Tulia ang’oa hotuba ya Sugu bungeni - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dk. Tulia ang’oa hotuba ya Sugu bungeni

SPIKA wa Bunge, Dk.Tulia Ackson ameamuru kuondolewa kwenye kumbukumbu za bunge Hotuba ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 baada ya kuvutana na waziri kivuli wa wizara hiyo, Joseph Mbilinyi (Sugu), Mbunge wa Mbeya Mjini. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hatua hiyo imefikiwa baada ya Sugu kulalamika na kugoma ...


Source: MwanahalisiRead More