DKT. ABBASI ATOA MAFUNZO KWA MAAFISA HABARI NA TEHAMA KUTOKA TAASISI ZA SERIKALI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DKT. ABBASI ATOA MAFUNZO KWA MAAFISA HABARI NA TEHAMA KUTOKA TAASISI ZA SERIKALI

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbasi akiwasilisha mada kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii katika kutangaza huduma na shughuli mbalimbali za Serikali kwa Maafisa Habari na Maafisa Tehama kutoka Taasisi mbalimbali Serikalini pwakati wa mafunzo maalum yaliyofanyika leo Ijumaa Juni 8, 2018 Jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA MAELEZO)


Source: Issa MichuziRead More