DKT BASHIRU AGAWA MABATI 200 MANYARA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DKT BASHIRU AGAWA MABATI 200 MANYARA

Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally akishiriki ujenzi wa ofisi ya CCM Tawi la Songambele Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ambapo alichangia mabati 100.Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akizungumza na wanachama wa Tawi la Oloshonyokie Kata ya Naisinyai Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, baada ya kulizindua na kuchangia mabati 100.……………………….KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt Bashiru Ally Kakurwa ameyapatia mabati 200 matawi ya CCM ya Oloshonyokie Naisinyai na Songambele Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, kwa ajili kujenga ofisi mpya za matawi hayo.
Dk Bashiru akizungumza na wanachama wa matawi hayo alisema mabati hayo 200 yanatolewa kupitia mfuko wa kuendeleza chama wa Mwenyekiti wao Rais John Magufuli.
Alisema uhai wa chama hicho unategemea wanachama waliopo kwenye matawi na mashina hivyo wanayaunga mkono ili kuendelea kuifanya CCM iwe karibu zaidi na wananchi.
Pia, aliwapongeza baadhi ya wadau wa maendeleo wa mji mdogo wa Mirerani, ambao ni wana CCM, Paul ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More