DKT KALEMANI AIPONGEZA TANESCO KWA KUCHAPA KAZI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DKT KALEMANI AIPONGEZA TANESCO KWA KUCHAPA KAZI

 Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani akizungumza Dodoma katika kikao kazi alichofanya na watumishi wa shirika hilo wakiwemo wajumbe wa Bodi ya Tanesco, viongozi wa menejimenti ya TANESCO, Bodi ya EWURA na watendaji wa REA. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini Dkt Tito Mwinuka (Kulia) akifuatilia kwa Makini Mkutano wa Kikao Kazi Ulioitishwa Mjini Dodoma na Waziri wa Nishati Dkt Kalemani na Kuhudhuriwa na watumishi wa shirika hilo wakiwemo wajumbe wa Bodi ya Tanesco, viongozi wa menejimenti ya TANESCO, Bodi ya EWURA na watendaji wa REA. Watumishi wa Shirika la Umeme Nchini TANESCO, akiwemo Kaimu Meneja Uhusiano wa Tanesco Bi Leila Muhaji wakimsikiliza Waziri wa Nishati Dkt MEDARD KALEMANI alipokuwa akizungumza Kwenye Kikao Kazi alichoitisha Mjini Dodoma na Kuhudhuriwa na watumishi wa shirika hilo wakiwemo wajumbe wa Bodi ya Tanesco, viongozi wa menejimenti ya TANESCO, Bodi ya EWURA na watendaji wa REA.Wajumbe wa Bodi ya Tanesco, Viongozi wa Menejimenti ya Tanesco, Bodi ya ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More