DKT. KALEMANI:SERIKALI IMETENGA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 40 KWAAJILI YA UMEME NGORONGORO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DKT. KALEMANI:SERIKALI IMETENGA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 40 KWAAJILI YA UMEME NGORONGORO

Waziri wa Nishati Medard Kalemani akionyesha moja ya Mita ambazo zinaweza kutumika kwa mwananchi wa kawaida katika matumizi ya nyumbani ikiwemo kutumika kwenye taa,jiko,friji na matumizi mwengine ambayo alikwenda nazo za bure Waziri wa Nishati Medard Kalemani akiwa amezungukwa na wananchi wa Digodigo kama inavyoonekana kwenye picha ,pembeni yake anaonekana Naibu waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Willium Tate Olenasha ambae pia ni Mbunge wa Ngorongoro.Waziri wa Nishati Medard Kalemani akionyesha moja ya Mita ambazo zinaweza kutumika kwa mwananchi wa kawaida katika matumizi ya nyumbani ikiwemo kutumika kwenye taa,jiko,friji na matumizi mengine hapa akimkabidhi mwananchi mita hiyo bure.Waziri wa Nishati akitolea ufafanuzi jambo kwa wananchi wa Dogodigo. Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia William Tate Olebasha akisalimia na wananchi wa Digodigo kama inavyoonekana pichani. Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalimani akisalimiana na wananchi wa Digodigo wilayani Ngorongoro ambapo al... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More