DKT KIGWANGALLA ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DKT KIGWANGALLA ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangalla akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface, Kulia ni Mkuu wa wodi aliyolazwa Dkt. Kigwangalla SR Happyness Mligo.Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface akimtakia kila la kheri Dkt Hamisi Kigwangalla baada ya kuruhusiwa kutoka wodiniDkt Kigwangalla akitoka katika jengo la MOI baada ya kiruhusiwa kutoka wodini.
Jopo la Madaktari Bingwa wa MOI linalomhudumia Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla limemruhusu kutoka wodini baada ya kujiridhisha kwamba afya yake imetengamaa na anaweza kurejea nyumbani ili kuja hospitali kama mgonjwa wa nje.
Jopo hilo la madaktari bingwa 5 wa kada za Mifupa, Usingizi na magonjwa ya ndani limefikia maamuzi hayo baada ya kumhudumia Dkt. Kigwangalla toka tarehe 12/08/2018 alipohamishiwa katika taasisi ya tiba ya Mifupa MOI kwaajili ya matibabu ya kibingwa ya mkono wake wa kushoto baada ya kupata matibabu mengine katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Mkurugen... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More