DKT. KIJAJI AWATAKA WAFANYABISHARA KIGOMA KUCHANGAMKIA FURSA ZA NCHI JIRANI ZA BURUNDI NA RWANDA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DKT. KIJAJI AWATAKA WAFANYABISHARA KIGOMA KUCHANGAMKIA FURSA ZA NCHI JIRANI ZA BURUNDI NA RWANDA

Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala, akizungumza na wafanyabiashara wa Wilaya hiyo wakati wa Mkutano kati ya Wafanyabiashara hao na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (hayupo pichani).Mfanyabiashara wa Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma Bw. Musa Ndiliwe, akieleza kuhusu kuimarishwa kwa mazingira bora ya kibiashara katika Soko la Ujirani mwema kati ya yao na wenzao wa Nchini Burundi kwa lengo la kukuza biashara, wakati wa mkutano kati ya wafanyabiashara hao na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) Wilayani hapo.Wafanyabiashara Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma wakimsikiliza kwa Makini Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (hayupo pichani), alipofanya mkutano ulioangazia namna bora ya kuboresha mazingira ya kibiashara katika Wilaya hiyo.Maafisa wa Wizara ya Fedha na Mipango walioko kwenye msafara wa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, wakifuatilia mkutano kati ya Serikali na wafanyabiashara w... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More