DKT. KIKWETE: UKIWA KIONGOZI KILA TIMU INAKUHUSU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DKT. KIKWETE: UKIWA KIONGOZI KILA TIMU INAKUHUSU

Rais Mstaafu wa awamu nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete

Na Bakari Madjeshi wa Michuzi TV
Rais Mstaafu wa awamu nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa katika mchezo wa Soka ukiwa Kiongozi kwa madaraka yeyote ya Serikali kila timu inakuhusu. 
Akizungumza katika harambee ya hamasa yakuichangia timu ya Yanga SC ijulikanayo kama 'KUBWA KULIKO', Dkt Kikwete amesema utakuwa Kiongozi mwenye dhamana mpuuzi kukandamiza timu nyingine kwa madaraka yako.
"Kuna Wakati mtu kama Juma Kapuya alikuwa Kiongzi katika Serikali lakini alikuwa Simba kindakindaki hawakutumia nafasi ile kukandamiza timu ya Yanga basi kama angefanya hivyo ingebidi tutafute Waziri mwengine ashughulike na Yanga SC ", amesema Dkt Kikwete.
Katika shughuli hiyo pia, Dkt. Kikwete ameuliza: "Waziri Mkuu sijui timu yako?lakini umekubali mwaliko huu, umefanya jambo la maana sana, tushukuru suala hili, tumpomgeze sana, tusitumie nafasi hii kupiga vijembe Viongozi, ngonjeni watoke madarakani".

KUHUSU SUALA LA KLABU YA SIMBA KUJENGA UWANJA WA BUN... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More