DKT MGHWIRA AOMBA WADAU KUSAIDIA UJENZI WA NYUMBA KWA ASKARI POLISI 400 WANAISHI URAIANI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DKT MGHWIRA AOMBA WADAU KUSAIDIA UJENZI WA NYUMBA KWA ASKARI POLISI 400 WANAISHI URAIANI

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Anna Mghwira pamoja na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ,Hamis Issah wakipokea msaada wa mifuko 200 ya saruji kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Jun Yu, inayotengeneza saruji ya Moshi Cement, Tian Haifeng. Sehemu ya mifuko 200 ya saruji iliyotolewa na Kampuni ya Jun Yu inayoendeshwa na raia wa China iliyotolewa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za askari Polisi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Anna Mghwira ,akiongizwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,Hamis Issah kwa kutizama maendeleo ya ujenzi wa nyumba za askari zinazojengwa katika kambi ya Polisi Moshi.  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Anna Mghwira ,akizungumza jambo na Kamanda wa  Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,Hamis Issah mara baada ya kutizama maendeleo ya  ujenzi wa nyumba za askari zinazojengwa katika kambi ya Polisi Moshi. Baadhi ya Mafundi wakiendelea na ujenzi katika eneo hilo la kambi ya askari Polisi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Hamis Issah akizungumza wakati wa kupokea msaada ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More