DKT. MPANGO AWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DKT. MPANGO AWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA

 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma, Mapedekezo ya Mpango wa Maendeleo wa taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2019/2020. Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma, Mapedekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2019/2020. Viongozi Waandamizi wa Wizara ya Fedha na Mipango, wakifuatilia kwa makini Hotuba kuhusu Mapedekezo ya Mpango wa Maendeleo wa taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2019/2020, ikiwasilishwa Bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) Viongozi Waandamizi wa Wizara ya Fedha na Mipango, wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Amina Khamis Shaaban (wa tatu kulia), wakifuatilia kwa makini Hotuba kuhusu Mapedekezo ya Mpango wa Maendeleo wa taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2019/2020, ik... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More