DKT TIZEBA AWATAKA WAFANYABIASHARA KUPUNGUZA BEI ZA MBEGU - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DKT TIZEBA AWATAKA WAFANYABIASHARA KUPUNGUZA BEI ZA MBEGU

Waziri Wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba akikagua vipando vya Pamba mara baada ya kutembelea maonesho ya kilimo na sherehe za wakulima Nanenane Kanda ya Ziwa Magharibi katika viwanja vya Nyamhongolo Jijini Mwanza, Leo tarehe 7 Agosti 2018. (Picha Zote Na Mathias Canal-Wizara ya Kilimo).Waziri Wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba akisisitiza kupunguzwa gharama za mbegu alipotembelea banda la kampuni ya Risk Ziwaan kwenye maonesho ya kilimo na sherehe za Nanenane Kanda ya Ziwa Magharibi katika viwanja vya Nyamhongolo Jijini Mwanza, Leo tarehe 7 Agosti 2018.Waziri Wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba akisisitiza jambo mara baada ya kutembelea banda la Bodi ya Pamba kwenye maonesho ya kilimo na sherehe za Nanenane Kanda ya Ziwa Magharibi katika viwanja vya Nyamhongolo Jijini Mwanza, Leo tarehe 7 Agosti 2018.
Na Mathias Canal, WK-Mwanza.
Waziri Wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba leo Agosti 07, 2018 ametembelea maonesho ya kilimo na sherehe za wakulima Nanenane Kanda ya Ziwa Magharibi yanayofanyika katik... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More