DKT TIZEBA AZUIA HALMASHAURI KUTOA VIBALI VYA UNUNUZI WA KAHAWA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DKT TIZEBA AZUIA HALMASHAURI KUTOA VIBALI VYA UNUNUZI WA KAHAWA

Waziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb) akitangaza zuio la Halmashauri kutoa vibali vya kununua kahawa wakati akihutubia maelfu ya wanachi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara uwanja wa Changarawe Wilayani Karagwe kwenye muendelezo wa ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa (Mb) aliyoianza Jana tarehe 6 Octoba 2018 mkoani Kagera. (Picha Na Mathis Canal-WK)
Na Mathias Canal-WK, Karagwe-Kagera.
Waziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb) amezuia Halmashauri zote nchini kujihusisha na utoaji wa vibali kwa wafanyabiashara vya kununua kahawa kwa wakulima.
Dkt Tizeba ametoa zuio hilo Leo tarehe 7 Octoba 2018 wakati akihutubia maelfu ya wanachi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara uwanja wa Changarawe Wilayani Karagwe wakati wa muendelezo wa ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa (Mb) aliyoianza Jana tarehe 6 Octoba 2018 mkoani Kagera.
"Wafanyabiashara wa kahawa ili wanunue zao hilo walikuwa wanaenda kuo... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More