Do or Die: kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera aizungumzia mechi ya Simba dhidi ya Wakongo AS Vita ‘Vita ni hatari nje ya nchi’ (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Do or Die: kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera aizungumzia mechi ya Simba dhidi ya Wakongo AS Vita ‘Vita ni hatari nje ya nchi’ (+video)

Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga raia wa Kongo, Mwinyi Zahera amesema kuwa mechi ya mtani wao Simba SC hapo kesho dhidi ya Wakongo AS Vita Club michuano ya klabu bibwa Afrika itakuwa ngumu pande zote mbili kwakuwa kila mmoja anayonafasi ya kutinga hatua ya robo fainali, huku akisistiza kuwa Vita huwa hatari zaidi wanapokuwa ugenini.The post Do or Die: kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera aizungumzia mechi ya Simba dhidi ya Wakongo AS Vita ‘Vita ni hatari nje ya nchi’ (+video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More